WANAHABARI WAPETA UONGOZI TFF

BONIFACE WAMBURA (OFISA HABARI)
JIMMY KABWE (OFISA MASOKO)

ANGETILE OSIAH (KATIBU MKUU)
WANAHABARI waandamizi nchini wameukwaa uongozi katika shiruikisho la Soka rtanzania (TFF) kupitia mchakato wa kujaza nafasi za watendaji wake uliofanyika hivi karibuni.
Wanahabari hao ni pamoja na Muhariri Mwandamizi wa michezo wa kampuni ya Mwananchi Commuication, Angetile Osiah, Mhariri Mwandamizi wa Habari wa gazeti la jambo leo, Boniface Wambura aliyeukwaa Uofisa Habari wa TFF na mtangazaji maarufu wa vituo vya redio na televisheni vya East Africa, Jimmy Kabwe.

Comments