WADAU NIMEPATA KWIKWI KIDOGO KWENYE LIBENEKE LANGU UPANDE WA PICHA

BABARI  wadau!, nasikitika kuwaeleza kuwa mtandao wangu umepata kwikwi kidogo katika suala la picha ndiyo maana post za kuanzia jana hazina picha,  suala linashughulikiwa na muda si mrefu mambo yatakuwa poa.

Comments