ULINZI KUZINOA SIMBA, YANGA

KIKOSI CHA SIMBA

KIKOSI CHA YANGA

KIKOSI CHA ULINZI

TIMU za Simba na Yanga zitacheza mechi ya kirafiki na Ulinzi ya Kenya kati ya Desemba 18 na 19 ikiwa ni maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom.

Comments