SIMBA YAMUONGEZA MKATABA PATRICK PHIRI


KLABU ya soka ya Simba imemuongeza mkataba wa miaka miwili kocha wake Mzambia Patrick Phiri.
Mwenyekiti wa Simba Alhaj Ismail Aden Rage amesema kwamba uongozi umefikia hatua hiyo kutokana na kuridhishwa na utendaji wa kocha huyo ambaye ameipatia mafanikio makubwa klabu hiyo

Comments