SIMBA YASAKA MILIONI 100 KUPATA HATI YA KIWANJA

KLABU Simba ipo katika mchakato wa kusaka kiasi cha shilingi milioni 100 ambazozitawezesha kulipia wizara ya Ardhi ili kuweza kupata hati ya kiwanja chao kilichopo bunju, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Simba Alhaj Ismail Aden Rage amesema moja ya njia ya kupata michango hiyo kwa wanachama ni kupitia mfumo wa kununua jezi maalum kwa sh.15,000 na kuendelea kwa mwanachama yeyote mwenye mapenzi mema.

Comments