SIMBA YAPANIA KUTWAA KOMBE LA MAPINDUZI


KLABU ya soka ya Simba imepania kutwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2011 ambapo michuano hiyo inatarajiwa kuanza Jumapili hii huko Visiwani Zanzibar.

Simba tayari ipo visiwani huko ambapo itaanza ka mpeni yake Januari 3 kwa kukipiga na Jamhuri ya Pemba.

Comments