SIMBA YAFUNGA USAJILI KWA KUONGEZA WAWILI TU


SIMBA ya Dar es Salaam imefunga pazia lake la usajili wa dirisha dogo kwa kusajili wachezaji wawili tu ambao wataitumikia timu hiyo kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara pamoja na michauno mingine.
Wachezaji hao ni pamoja na mshambuliaji Ali Ahmed Shiboli kutoka KMKM ya Zanzibar na mchezaji wake iliyemuuza kwa mkopo katika club ya African Lyon, Meshack Abel.

Comments