SIMBA KUANZA KUJINOA 'GYM' JUMATATU

WACHEZAJI wa Simba wataanza mazoezi ya Gym jumatatu ijayo kwa ajili ya kujenga miili yao kabla ya wiki mbili badaye kuanza mazoezi ya uwanjani ikiwa ni maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na michuano mingine.

Comments