PATRICK PHIRI ATUA DAR

PATRICK PHIRI
KOCHA mkuu wa Simba, Mzambia Parick Phiri amewasili nchini tayari kuanza maandalizi ya timu hiyo kwenye mzunguko wa pili wa ligi kuu bara na michuano ya kimataifa.

Comments