NICO BAMBAGA AFARIKI DUNIA

MAREHEMU BAMBAGA WATATU KUTOKA KUSHOTO WALIOSIMAMA AKIWA NA KIKOSI CHA YANGA ENZI ZA UHAI WAKE
ALIYEWAHI kuwa mchezaji wa Yanga Nico Bambaga amefariki asubuhi ya leo katika Hospitali ya Lugalo alipokuwa amelazwa na mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake Kigogo, jijini Dar es Salaam.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake Lihimidiwe.

Comments