MSONDO VS SIKINDE MILLENIUM TOWER KIJITONYAMA LEO

Watanzania kwa mara nyingie watapata burudani laaina yake pale MSONDO

JAZZ BAND watakapo pambana na wahasimu wao SIKINDE katika uzinduzi wa
usiku wa mwafrika MZALENDO PUB MILLENNIAM TOWER KIJITONYAMA siku ya
jumatano tarehe 8/12/2010 mkesha wa uhuru kuanzia saa tatu usiku,
kiingilio ni Tsh 10,000/ tu.

Comments

  1. Huku yupo Bichuka, huku yupo Mhidini ngurumo...na baadaye ingefaa, waimbe kwa pamoja!

    ReplyDelete

Post a Comment