KOCHA PAPIC ACHUNGULIA VIWANGO VYA WACHEZAJI UWANJA WA TAIFA


KOCHA mkuu wa Yanga, Kostadin Papic amealazimika kukatiza likizo yake na kuja nchini kushuhudia michuano ya Tusker Chalenji inayoendelea sasa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Comments