KILI STARS, ZANZIBAR HEREOS KAZINI LEO ROBO FAINALI YA TUSKER CHALENJI

TIMU ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Star' leo itashuka kwenye dimba la Taifa kukwaana na Rwanda katika robo fainali ya michuano ya Chalenji, huku Zanzibar Heroes ikitarajiwa kuumana na mabingwa watetezi wa michuano hiyo, Uganda.
Kila la heri wawakilishi Wetu.

Comments