KILI STARS VS UGANDA KATIKA NUSU FAINALI YA CHALENJI LEO

KIKOSI CHA KILI STARS

TIMU ya Taifa ya Bara 'Kilimanjaro Stars' jioni ya leo itashuka katika dimba la Taifa katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Chalenji dhidi ya mabingwa watetezi, Uganda.

Comments