KILI STARS MABINGWA WAPYA WA CHALENJI



TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanajro Stars' hatimaye imetwaa ubingwa wa kombe la TChalenji baada ya kulikosa kwa miaka 16 kweani mara ya mwisho kulitwaa ilikuwa mwaka 1994.
Stars ilitwaa ubingwa huo kupitia mechi ya fainali walipocheza na Ivoer Coast na kushinda bao 1-0, pamoja na ushindi huo, Kili pia iliwavua ubingwa wa michuano hiyo, Uganda katika m,ecjhi ya Nusu fainali baada ya kuishindilia penati 5-4.

Comments