KENYA YALAINIKA, KESHO KUKIPIGA NA UGANDA

KENYA imebadili msimamo wake wa kugombea michuano ya Chalenji kushinikizwa ilipwe posho zao na kampuni inayosimamia soka nchini mwao ambapo kesho itacheza na Uganda.
Timu hizo zitakutana katika mechi ya mwisho ya kukamilisha ratiba ya kundi lao ambapo Kenya ilipoteza mechi zake za kwanza ambapo ilianza kwa kufungwa 2-0 na Ethiopia kabla ya kutandikwa 3-1 na Malawi.

Comments