KARAMA NYILAWILA ATWAA UBINGWA WA WBF

KARAMA NYILAWILA KUSHOTO AKIWA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA MASUMBWI TANZANIA (PST) EMMANUEL MLUNDWA.

BONDIA wa Tanzania Karama Nyilawila jana ametwaa ubingwa unaotambuliwa na WBF uzani wa Kati  baada ya kumtwanga Kreshnik Qato  mpambano uliopigwa, Spartaplatz, Prague, Czech Republic.
Katika mpambano huo wa raundi 12 Karama alishinda kwa pointi 12(6)-7(3)-2, huku mpinzani wake akipata pointi 24(4)-6(2)-0.

Comments

  1. KRESHNIK QAOT IS STILL THE WORLDS BEST MIDDLEWEIGHT. HE ONLY LOST BECAUSE THERE WERE NO FANS FOR HIM!!

    ReplyDelete

Post a Comment