HONGERA SAGATI KUPATA JIKO


Mwenyekiti Mtendaji wa Klabu ya Makapera TSN, Shedrack Sagati akiwa na Mkewe Cecilia Costantine baada ya kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa la Sabato Ubungo Hill jijini Dar es Salaam jana na kufuatiwa na tafrija kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Resort Sinza. Bwana harusi ni Mwandishi katika magazeti ya TSN(HabariLeo na Daily News) na Biharusi ni Mfanyakazi wa ODDSSEY International.

Comments

  1. Kwa kweli walijua kuchagua ukumbi,Golden Resort kwa kweli wananifurahisha kila mara niendapo

    waudumu wake niwasafi na wenye kujituma bila kugusa kinywaji cha mteja

    ulinzi mzuri {ndani na nje kwenye parking},vyoo visafi,hewa ya kutosha bila kusahau sehemu kuuuubwa yakujimwayamwaya.

    i really love everything about huu ukumbi....

    ReplyDelete

Post a Comment