HONGERA KHADIJA KALILI KWA KULA NONDOZZZZ!




MWANDISHI mwandamizi wa habari za michezo na burudani wa gazeti la Tanzania Daima Khadija Kalili ijumaa iliyopita alitunukiwa stashahada ya uandishi wa habari na mawasilkiano ya Umma katika chuo cha DJIMC, mahafali yalifanyika katika ukumbi wa Pope John Poul mjini Tanga.
Khadija pia ni mwanalibeneke kupitia http://www.bongoweekend.blogspot.com/.,

Comments