HARUNA MOSHI 'BOBAN' KUOZEA MTAANI !

HARUNA MOSHI 'BOBAN'
WAKALA wa wachezaji anayetmabuliwa na shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) Damas Ndumbaro anmesema bila dola 50,000, mchezaji wa zamani wa Simba, Haruna Moshi 'Boban' ataendelea kusota kwa mmwaka mmoja na nusu bila kuichexzea timu  yoyote mpaka zitakapolipwa fedha hizo.
Hatua hiyo inafuatia Boban kuvunja mkataba wa kuichezea klabu ya Gefle IF ya nchini Sweden mwezi Aprili mwaka huu hivyo klabu yoyote itakayomuhitaji inatakiwa kulipa faini hiyo.
DAMAS NDUMBARO

Comments