HARDMAD ATETA NA WANAHABARI KUHUSIANA NA UZINDUZI WAKE

MSANII WA Regge na Dancehall nchini Hardmad amesema maandalizi kwa ajili ya uzinduzi wa albamu yake ya nne iitwayo 'Imebaki Stori' utakaofanyika Desemba 10 kwenye ukumbi wa Makumbusho yamekamilika hivyo amewaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi.
Hardmad amesema leo kwamba katika uzinduzi huo kutakuwa na bururudani mbalimbali ikiwemo bendi yake ya Kaka Zao, Fatma,Malfred, Mr Mbeya, Koba na Wengineo.

Comments