HARAMBEE STARS WAGOMEA MICHUANO YA TUSKER CHALENGE

KOCHA MKUU WA TIMU YA TAIFA YA KENYA 'HARAMBEE STARS' JACOB 'GHOST' MULEE MWENYE MIWANI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO KUHUSIANO NA MGOMO WA TIMU YAKE KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA CHALENJI INAYOENDELEA KWENYE UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM  KUSHINIKIZA KULIPWA POSHO ZAO

NAHODHA WA HARAMBEE STARS, STEVEN OCHOLI AKIFAFANUA JAMBO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSIANA NA MGOMO WAO KATIKA MICHUANO YA TUSKER CHALENJI.

WANAHABARI TOKA VYOMBO MBALIMBALI KATIKA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI


TIMU ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' imegoma kufanya mazoezi kuanzia leo na ikiwezekana kutocheza mechi yake ya kesho dhidi ya Uganda katika michuano ya kombe la Tusker Chalenji inayoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam mpka itakapolipwa posho zao na chama cha soka cha Kenya.\
Kocha wa Haramabee Stars Jacob Mulee amesema kwamba kutokana na kutolipwa posho zao imewaondoa ari wachezaji na hivyo kupoteza michezo yao ya awali.
Harambee ilianza kwa kufungwa Malawi mabao 3-1 kabla ya jana kutandikwa mabao 2-1 na Ethiopia.

Comments