DK.REMMY KUZIKWA ALHAMIS

BAADHI YA WASANII WAKONGWE WAKIOMBOLEZA MSIBA WA MWENZAAO


MWILI wa aliyekuwa nguli wa muziki wa dansi nchini marehemu ramadhan Mtoro Ongala 'Dk.Remmy' aliyefariki juzi unatarajiwa kuzikwa keshokutwa katika makaburi ya Sinza.
Remmy alikuwa na umauti hayo baada ya kuugua kwa muda mrefu hivyo kwa mujibu wa mjomba wa marehemu Mzee Makassy.

Comments