BOSI FA ENGLAND AJIUZURU


KAIMU Mwenyekiti wa Chama cha Soka cha England (FA) Roger Burden ameondoa jina lake katika kinyang'anyiro cha kuwania Uenyekiti wa chama hicho aada ya England kukosa nafasi ya kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2018.
Bosi huyo aliyeteuliwa mwezi wa Mei, mwaka huu amedai kutowaamini tena wajumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) na nafasi hiyo kupewa Urusi.

Comments