AZAM YAINGIA MKATABA WA MIEZI 18 na KOCHA ZNZ HEROES


MWENYEKITI WA AZAM SAID MOHAMED KUSHOTO NA KOCHA STEWART KULIA WAKATI WA KUMTAMBULISHA RASMI KWA WAANDISHI WA HABARI LEO.

KLABU ya Azam imeingiua mkataba wa miezi 18 na kocha Muingereza Stewart John Hall kwa ajili ya kuinoa timu hiyo inayoshiriki ligi kuu Bara.
Hall alikuwa akiinoa Zanzibar Heroes iliyokuwa ikishirikki michuano ya Chalenji iliyomalizika jumapili na timu ya Taifa ya Bara 'Kilimanjaro Stars' kuutwaa ubingwa.
Pamoja na kunyakluliwa Azam Hall pia atakyuwa akitoa ushauri katika benchi la ufundi la Zanziba Heroes.

Comments

Post a Comment