AZAM KUPIMANA UBAVU NA YANGA LEO




TIMU za soka za Azam Fc na Yanga Fc leo jioni zitakutana katika mechi ya kirafiki mahususi kwa kupima viwango vya wachezaji wake.
Timu hizo zipo katika maandalizi ya mzunguko wa pili wa ligi kuu bara unaotarajiwa kuanza januari 15 mwakani.
Mechi hiyo pia itawapa fursa mashabiki kushuhudia nyota wapya waliosajiliwa na timu hizo.

Comments