AKUDO IMPACT YAJA KIVINGINE


CANAL TOP, BELLA NA TARCISE MASELA

BAADHI YA WASANII WA AKUDO


KIONGOZI WA AKUDO IMPACT CHRISTIAN BELLA KUSHOTO PAMOJA NA MSANII WA BENDI HIYO CANAL TOP
BENDI ya muziki wa dansi nchini Akudo Impact 'Vijana wa Masauti' imerejea kwa kishindo katika medani ya juziki dansi baada ya kimpya cha muda mrefu.
Kiongozi wa bendi hiyo Christian Bella amesema kwamba wamekuja na moto mkali kuliko ilipokuwa awali, huku wakimrejesha kundini msanii wao aliyekwenda Rufita Connection, Canal Top.
Bella alisema kwa sasa wapo katika hatua za mwisho za kukamilisha albamu yao mpya itakayokwenda kwa jina la 'History no Change'.

Comments