VODACOM MISS TANZANIA 2010 AREJEA

VODACOM MISS TANZANIA MWAKA 2010 GENEVIEV MPANGALA MARA BAADA YA KUWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA TOKA NCHINI CHINA ALIPOKWENDA KUSHIRIKI SHINDANO LA MISS WORLD LILILOFANYIKA OKTOBA 30 NA TAJI KWENDA KWA MISS MAREKANI, ALEXANDRIA MILLS.
Kutoka kushoto ni Mkuu wa Itifaki Kamati ya Miss Tanzania Bw. Albert Makoye, pamoja na Mrembo wa Chuo Kikuu Huria Christina Justine, na Miss Shinyanga 2010 Buduri Ibrahim kwa pamoja wakiwapokea Miss Tanzania 2010 Genevieve Emmanuel na mshindi wa pili Glory Mwanga kushoto kwa Genevieve, na Miss Temeke mshindi wa pili Anna Daudi ambao waliwasili jana wakitokea Sanya China katika mashindano ya urembo ya dunia.

Mrembo Anna Daudi na Glory Mwanga walikwenda Sanya China kumpa sapoti Miss Tanzania 2010. pamoja na Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashimu Lundenga, Katibu Mkuu Bosco Majaliwa, na mama wa Miss Tanzania 2010 Mrs. Mary Emmanuel Mpangala.

Comments