TIMU YA TAIFA YA SOMALIA YAPATA AJALI, ITAKIPIGA NA KILI STARS KESHO

KIKOSI KILIMANJARO STARZ

TIMU ya taifa ya Somalia imepata ajali jioni ya kleo ilipokuwa inakwenda Uwanja wa Karume kwa ajili ya kujiandaa na mechi yake na timu ya Taifa ya Tanzania bARA 'Kilimanajaro stars kesho, katika michuano ya kombe la Chalenji.
Katika ajali hiyo wachezaji wawili walijeruhiwa na kukimbizwa haspitali kwa matibabu.
Timu hizo zitakutana zikiwa na kumbukumbu za kufungwa katuika mechi zao za mwanzo ambapo Starz ilifungwa 1-0 na Zambia huku Somalia ikitandikwa 2-0 na Burundi.

Comments

Post a Comment