MUHIDINI GURUMO APUMULIA MASHINE MUHIMBILI, TUMUOMBEE

MUHIDINI GURUMO
KIONGOZI wa  bendi ya msondo ngoma Muhidini Gurumo amelazwa ktk hospitali ya taifa ya Muhimbili katika wodi ya  Mwaisela no 5 huku akiwa anapumulia mashine ya gesi kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa Mapafu kujaa maji.

Tunamtakia kupona kwa haraka

Comments