MAALIM GURUMO AHAMISHIWA ICU

MUHIDIN GURUMO
HALI ya mwanamuzi nguli wa dansi, maalim Muhidin Gurumo wa Msondo Ngoma imekuwa si ya kuridhisha baada ya kuhamishiwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.
Gurumo amela hosptalini hapo tangu wiki iliyopita akisumbuliwa na ugonjwa wa mapafu kujaa maji.
Tunamuombea kwa mungu apate nafuu na kuendelea na kazi yake.

Comments