LUINEX AMKAMATA KIDUMU


MKALI wa bongo Fleva anayetamba kwa sasa na Singo yake ya 'Mama Halima' Linex yupo mbioni kurekodi kibao na mkali kutoka Burundi mwenye maskani yake nchini kenya, Kidumu.
Linex amesema kwamba wimbo huo utakuwemo kwenye albamu yake ya pili aliyoanza kuisuka.

Comments