LEODGER TENGA KUWANIA UJUMBE CAF

LEODGER TENGA

RAIS wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) na Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) Leodger Tenga anatarajiwa kuwania nafasi ya ujumbe katika Shirikisho la Soka la Soka Barani Afrika (CAF) katika uchaguzi utakaofanyika nchini Sudan mwezi Februari mwakani.

Comments