KILI MANJARO STARS VS CHIPOLOPOLO LEO KATIKA TUSKER CHALENJI

KIKOSI KILIMANJARO STARS

CHIPOLOPOLO
TIMU ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' leo itashuka katika dimba la Taifa jijini dar es Salaam kukipiga na timu ya Taifa ya Zambia 'Chipolopolo' katika mechi ya kuwania michuano ya Tusker Chalenji inayoanza kutimua vumbi leo na kushirikisha timu 12.
Mechi hiyo ya Kili na Chipolopolo itatanguliwa na mechi ya ufunguzi utakaozikutanisha Burundi na Somalia.

Comments