KANDORO AKABIDHI ZAWADI WASHINDI VODACOM MWANZA CYCLE CHALLENGE 2010

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro, akimkabidhi Omary Matangajo kitita cha shilingi 400,000 mara baada kuibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wanaume walemavu katika mbio za Vodacom Mwanza Cycle Challenge.




Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,akimkabidhi shilingi 250,000 Sayuda Pigi mara baada ya kuibuka mshindi wa pili katika mashindano ya mbio za Vodacom Mwanza cycle Challenge kwa upande wa wanaume walemavu.


003. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,akimkabidhi Helena Mwendesha shilingi 400,000 mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wanawake walemavu katika mashindano ya Vodacom Mwanza Cycle Challenge.



 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro wa tatu kutoka kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na wadhamini waliodhamini mashindano ya mbio za baiskeli za Vodacom Mwanza Cycle Challenge ,Knight support,Pepsi,Alphatel.




 
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro,akimkabidhi Hamis Clement kitita cha shilingi Ml 1,500,000 mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika mbio za Vodacom Mwanza Cycle Challenge.

Comments