K-MONDO SOUND YAPAKUA VIDEO MBILI

BENDI ya dansi K-Mondo Sound imeachia viodeo mbili ambazo zitaanza kurushwa kwebnye vituo mbalimbali vya televiosheni wakati wowote kuanzia sasa, imefahamika.
Kiongozi wa bendi hyo Richard Mangustino alizitaja video hizo ni pamoja na Njiwa na Your Still Mine.

Comments