DIAMOND AREKODI MOJA NCHINI UINGEREZA

DIAMOND

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu kama Diamond amerekodi wimbo mpya ujulikanao kama 'Lala Salama', kazi iliyofanywa katika studio za Urban Pulse Creative za nchini Uingereza chini ya watayarishaji, Young Josh na Salim.
Diamond yupo nchini kumo kwa ajili ya ziara maalum ijulikanayo kama 'Urban Tour war on Malaria' .

Comments