CHIPUKIZI WA KIKAPU WALIOKWENSDA KWA MAFUNZO NCHINI MAREKANI WAREJEA

Meneja masoko wa Coca-Cola Tanzania Christine Maina akikabidhi zawadi wa Wachezaji chipukizi wa mpira wa kikapu Alpheus Kisusi, Sunday Edward na Evance Davis kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere mara baada wachezaji hao kuwasili kutoka Marekani walikoshiriki mafunzo ya wiki mbili ya mchezo huo kwa udhamini wa Coca-Cola kupitia Sprite.

Comments