BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LILILOTEULIWA NA JK HILI HAPA

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, JAKAYA KIKWETE


1.OFISI YA RAIS:
WAZIRI WA NCHI UTAWALA BORA-Mathias Chikawe
2. WAZIRI WA NCHI MAHUSIANO NA URATIBU –Stephen Wassira

2.OFISI YA RAIS, MANEJIMENT YA UTUMISHI WA UMMA- Hawa Ghasia

3.OFISI YA MAKAMU WA RAIS:
1. MUNGANO-Samia Suluhu
2. MAZINGIRA-Dr. Terezya Luoga Hovisa

4.OFISI YA WAZIRI MKUU:1. SERA, URATIBU NA BUNGE-William Lukuvi
2.UWEZESHAJI-Dr. Mary Nagu

5.OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)-
George Huruma Mkuchika
MANAIBU WAKE:
1.Aggrey Mwanri
2. Kassim Majaliwa

6.WIZARA YA FEDHA:-Mustapha Mkulo
MANAIBU WAKE:
1. Gregory Teu
2. Pereira Ame Silima

7.WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI:-Shamsi Vuai Nahodha
NAIBU WAKE-Balozi Khamis Suedi Kagasheki

8.WIZARA YA KATIBA NA SHERIA:-Celina Kombani

9.WIZARA TA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA:-Bernard K. Membe
NAIBU WAKE:-Mahadhi Juma Mahadhi

10.WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA:-Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi

11.WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI:-Dr. Mathayo David Mathayo
NAIBU WAKE:-. Benedict Ole Nangoro

12.WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA:-Prof. Makame Mnyaa Mbarawa
NAIBU WAKE:- Charles Kitwanga

13.WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI:-Prof. Anna Tibaijuka
NAIBU WAKE:-Goodluck Ole Madeye

14.WIZARA YA MALIASILI NA UTALII:-Ezekiel Maige

15.WIZARA YA NISHATI NA MADINI:-William Mganga Ngeleja
NAIBU WAKE:- Adam Kigoma Malima

16.WIZARA YA UJENZI:-Dr. John Pombe Magufuli
NAIBU WAKE:- Dr. Harrison Mwakyembe

17.WIZARA YA UCHUKUZI:-Omari Nundu
NAIBU WAKE:- Athumani Mfutakamba

18.WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA:-Dr. Cyril Chami
NAIBU WAKE:Lazaro Nyalandu
19.WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI:-Dr. Shukuru Kawambwa
NAIBU WAKE:-Philipo Mulugo

20.WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII:-Dr. Haji Hussein Mpanda
NAIBU WAKE:- Dr. Lucy Nkya

21.WIZARA YA KAZI NA AJIRA:-Gaudensia Kabaka
NAIBU WAKE:-Makongoro Mahanga

22.WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO:-Sophia Simba
NAIBU WAKE:-Umi Ali Mwalimu
23.WIZARA YA HABARI, VIJANA NA MICHEZO:-Emmanuel John Nchimbi
NAIBU WAKE:-. Dr. Fenella Mukangara
24.WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI:-Samuel John Sitta
NAIBU WAKE:-Dr. Abdallah Juma Abdallah

25.WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA:-Prof. Jumanne Maghembe
NAIBU WAKE:-Christopher Chiza

26. WIZARA YA MAJI:-Prof. Mark James Mwandosya
NAIBU WAKE Eng. Gerson Lwinge

Comments