YANGA WAAHIDIWA MIL.40 WAKIIFUNGA MNYAMA

KAMATI ya mashindano ya klabu ya Yanga imeahidi kutoa milioni 40 kwa wachezaji na benchi lote la ufundi iwapo watafanikiwa kuwafunga mahasimu wao wa jadi Simba hapo kesho katika dimba la CCm Kirumba.
Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga amesema kwamba pamoja na fedha hizo pia watampa ofa kocha wao mkuu, Kostadin Papic  tiketi ya kwenda na kurudi kwao Serbia kipindi cha mapumziko ya mwisho wa mwaka pamoja na fedha taslim shilingi mil.1.5.
Nchunga alisema , timu inaendfelea na mazoezi kambini mjini Bagamoyo na watakwenda Mwanza kesho kwa ndege ya kukodi na kisha kurejea baada ya mechi.

Comments

  1. Dina wala usihofu hawa mgongo wazi (yanga) tutawachapa tu,

    ReplyDelete

Post a Comment