WASHINDI 10 WA BAHATI NASIBU YA CHANGIA CCM WAZAWADIWA


KATIBU WA JUMUIYA YA WAZAZI CCM, HAMIS SELEMAN DADI MWENYE SHATI LA NJANO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

KATIBU WA VIJANA MKOA WA DAR ES SALAM, OMARY NG'WANANG'WALU MWENYE SHATI LA KIJANI AKIFAFANUA JAMBO KWA WAANDISHI WA HABARI KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI.

MMOJA YA WASHINDI WA PIKIPIKI, MAGRETH MHINA AKIKABIDHIWA ZAWADI YAKE.

MSHINDI WA LAKI MOJA, CHARLES KWETUKIA

ELISHA CHIMOJO WA DAR ES SALAAM ALIYESHINDA PIKIPIKI

EMMANUEL MSUYA, MSHINDI WA LAKI MOJA AKIKABIDHIWA KITITA CHAKE.

MAGRETH AKIKABIDHIWA FUNGUO ZA PIKIPIKI.

GODFREY MARTIN, MSHINDI WA LAKI MOJA.

HAMIS SULEIMAN ALIYESHINDA LAKI MOJA

PETER PAKATA, MSHINDI WA LAKI MOJA

RUKIA MOHAMMED, MSHINDI WA LAKI MOJA

WASHINDI 10 wa bahati Nasibu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wamekabidhiwa zawadi zao, hafla iliyofanyika Ofisi ndogo ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam.
Washindi hao wawili kati yao walikabidhiwa pikipiki aina ya Better zenye thamani y ash Milioni 1 kila mmoja na Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Omar Ng’wanang’walu na Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Khamis Suleiman Dadi.
Akizungumza baada ya kukabidhi zawadi hizo Katibu wa Jumuiya ya Wazazi, Khamis Suleiman Dadi alitia wito kwa wadau wa bahati nasibu wajitokeze ili kujipatia zawadi mbalimbali zinazotolewa na CCM.
Washindi hao ni pamoja na Magreth Mhina na Elisha Chimojo ambao kila mmoja walikabidhiwa pikipiki wakati washindi wengine ni Vitalis Kateule, Peter Pakata, Rukia Mohamed, Omar Suleiman, Charles Kwetukia, Godfrey Martin, Emmanuel Msuya na Khamis Suleiman.

Comments