VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI MADARASA SEKONDARI YA ILULA

Haya ndiyo madarasa yaliyojengwa na Vodacom Foundation.
Mkurugenzi wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom(Vodacom Foundation)Mwamvita Makamba akikata utepe ikiwa ni inshara ya kukabidhi madarasa mawili yenye thamani ya shilingi Miliopni 30 katika shule ya Sekondari ya Ilula wilaya ya kilolo Mkoani Iringa,na wapili kutoka kushoto ni Afisa Elimu wa Sekondari wilaya ya kilolo Theresa Zenda na watatu ni Mwalim Mkuu wa shule hiyo Damas Mgimwa,Mwishoni mwa wiki.




 
Mkurugenzi wa mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom(Vodacom Foundation)Mwamvita Makamba (kushoto)akiteta jambo na Meneja wa mfuko huo Yessaya Mwakifulefule wakati walipokuwa wakikabidhi madarasa mawili yenye thamani ya shilingi Miliopni 30 katika shule ya Sekondari ya Ilula wilaya ya kilolo Mkoani Iringa,Mwishoni mwa wiki.


 
Mkurugenzi wa  mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom(Vodacom Foundation)Mwamvita Makamba(kushoto)akibadilishana mawazo na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ilula wilayani kilolo mkoa wa Iringa mara baada ya  kukabidhi madarasa mawili yenye thamani ya shilingi Miliopni 30 katika shule hiyo.

KAMPUNI ya simu za mkononi nchini Vodacom kupitia mfuko weake wa Vodacom Foundation imekabidhi madarasa mawili yenye thamani ya shilingi milioni 30 kwa sekondari ya Ilula, Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa mwishoni mwa wiki iliyopita.

Comments