USIKU WA JANA MWANGA ALIPOKAMATWA MTAANI







YAANI nilikuwa nikisikia tu mwanga kakamatwa juzi usiku nilimshuhudia huyu mama anayedaiwa kuwa mwanga aliponaswaa mtaani kwetu na walinzi.
Katika kuhojiwa alijitambulisha kama mama dula ametokea buguruni, eti alikuwa anawasaka watu wamemuuzia mafuta ya petroli machafu, mara kadhulumiwa na konda.
Yaani alikuwa akitoa hadithi nyingi zisizoeleweka, kwa bahati nzutri aliachiwa lakini alipata kipigo kitakatifu.

Comments

  1. siku hizi hakuna wanga. Kuna watu wenye shida zao ambao wanakuwahawana makazi wanatafuta pakujisitiri. Wanga walisha kufa woooooooooteeee

    ReplyDelete

Post a Comment