TWIGA STARS YAENDA AFRIKA KUSINI NA MATUMAINI KIBAO



TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake 'Twiga Stars' imeondoka leo kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuishiriki fainali za mataifa ya Afrika kwa Wanawake yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Oktoba 30 nchini humo ambapo timu hiyo ityafungua dimba na wenyeji Afrika Kusini.
Twiga Stars inayonolewa na Charles Boniface Mkwassa imeondoka ikiwa na matumaini ya kufanya vema katika mashindano hayo ambapo kabla ya kwenda huko itapitia nchini Botswana kwa ajili ya kucheza mechi moja ya kujipima nguvu.
MUNGU INBARIKI TANZANIA< MUNGU IBARIKI TWIGA STARS

Comments