SYLLERSAID MZIRAY AWEKWA ICU AGA KHAN

MZIRAY

HALI ya kocha wa viungo na Saikolojia  wa Simba, Syllersaid Mziray 'Mwanangu' imezidi kuwa mbaya baada ya kulazwa kakita wodi ya wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan sambamba na kuwekewa mipira maalum kwa ajili ya kumsaidia kupumua.
Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' alithibitisha kulazwa kwa kocha huyo.

Comments

  1. Pole sana kocha, tunamuomba mwenyezi Mungu akupe nafuu upone haraka. Ipyana

    ReplyDelete

Post a Comment