SIMBA YACHARUKA, YAITANDIKA AFC 3-1

KIKOSI CHA SIMBA


MABINGWA watetezi wa ligi kuu bara, jana ilimalizia hasira zake za kufungwa bao 1-0 na mahasimu wao Yanga jumamosi iliyopita baada ya jana kuifunga mabao 3-1, AFC ya Arusha katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa CCM, Kirumba jijini Mwanza.
Ligi hiyo pia jana ilishuhudia Mtibwa Sugar ya Morogoro kulambishwa mabao 4 -0 na Azam Fc.

Comments