REGGE NITE JUMAMOSI HII MSASANI CLUB MSIKOSE!


Greetings!!!

Tungependa kufikisha news kuhusiana na REGGAE NITE Bash....
Litakua ni bash mahsusi kwaajili ya kumkumbuka mfalme wa
REGGAE..LUCKY DUBE.
Zaidi ya hapo,itatambulisha Albamu Mpya Kali ya REGGAE
iitwayo BONGO DREAD.kutoka kwa MACHIFU BAND.
LIVE BANDS mahiri za REGGAE zitaperform
pamoja na wasanii wa REGGAE wakiwamo.
JHIKO MAN and Afrikabisa BAND
Ras NDUMI and Machifu BAND
Sister Carola Kinasha...
Kama hiyo haitoshi,zitapigwa ngoma
kali za REGGAE na madijey wakali kwenye one n two...
Hakika hii si ya kukosa....
Come ALL lets rock the party all nite long.....

Comments