PAPIC BADO KOCHA WETU:YANGA

MSEMAJI WA YANGA, LOUIS SENDEU
KLABU ya soka ya Yanga umekanusha taarifa iliyotolewa kwenye chombo kimoja cha habari nchini kuwa imemtimua kocha wake mkuu Kostadin Papic 'Clinton'
Msemaji wa Yanga Louis Senseu amekanusha taarifa hizo na kusema kwamba Papic ni kocha wao na habari hizo zina lengo la kutaka kuwavuruga hivyo mashabiki na wadau wa timu hiyo wazipuuze.

Comments