KUMBE MWISHO MWAMPAMBA KICHWA


ALIYEKUWA mwakilishi wa Tanzxania katika  Big Brother All Stars mwaka 2010 Mwisho Mwampamba mwenye kofia pichani, ameitaka serikali kutangaza zaidi utalii uliopo Tanzxania na hasa katika vivutio vilivyopo nchini, apmoja na madini ili kusaidia kuongeza pato la nchi.
Mwisho alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari mara baada ya kurejea katika shindano hilo lilililokuwa likifanyuika nchini Afrika Kusini wiki iliyopita aliposhika nafasi ya nne huku taji likitaliwa na Uti kutoka Nigeria.
Kupitia shindano hilo ambalo uhusisha washiriki kukaa ndani ya jumba maalum Mwisho aliweza kuitangaza vema nchini huku pia akisikitika kukosa baadhi ya vithibisho ambavyo vingedhihirisha kuwa badhi ya vitu kama mlima Kilimanjaro upo katika nchi anayotoka.

Comments