KLABU YA SIMBA YASAKA MKURUGENZI WA MASOKO

KLABU ya soka ya simba inasaka mkurugenzi wa masoko atakayehusika na kusimamia mradi wea Branding ikiwemo utafutaji wa masoko
Sifa:awe na elimu ya kidato cha sita, uwezo wa kuzungumza lugha ya kiingereza kwa ufasaha.
Mwenye sifa hizo anatakiwa kutuma maombi kwenda:Simbasportsclub@yahoo.com kabla ya Oktoba 27 saa tisa alasiri mchana.

Comments